Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA ATEMBELEA ENEO LILIPO POROMOKA GHOROFA KARIAKOO




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2024 amekagua eneo ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa ghorofa katika kata ya Kariakoo, Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.



Aidha, Rais Dkt. Samia ambaye aliongozana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliwajulia hali na kuwapa pole majeruhi wa ajali hiyo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).

Post a Comment

0 Comments