Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amosi Makala akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo ambapo amesema mkutano huo utatanguliwa na vikao vya awali vya maandalizi kwa kuketi kamati Kuu na Halimashauri Kuu Taifa ya chama hicho kati ya ajenda zitakazo pitiwa ni pendekezo la jina la kuziba nafasi iliyo achwa wazi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Kanali Mstaafu, Abrahamani Kinana bada ya kujiudhulu miezi sita iliyopita.
0 Comments