Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ZINGATIENI WELEDI KATIKA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI’ DKT. GRACE



NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikaliza Mitaa, Dk. Grace Magembe ametoa amewataka Waandishi wa habari za mitandaoni kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao katika kuripoti uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 ,2024.


Dk.Magembe ametoa maelekezo hayo Novemba 13,2024 wakati akifungua semina ya Waandishi wa habari za mitandaoni iliyoandaliwa na TAMISEMI ikiwa lengo ni kuwaelimisha kuhusu kanuni za uchaguzi wa serikali za Mitaa,2024.


Amesema Waandishi wa habari wanapaswa kutoa taarifa sahihi kwa wananchi hivyo ni vyema kujengewa uwezo kwenye Kanuni ili waweze kuwa na uelewa mpana wa kanuni na kuhabarisha wananchi ili wajue umuhimu wa kushiriki katika uchaguzi pamoja na kupima sera na maono ya wagombea wa nafasi hizo katika kuwaletea maendeleo wananchi wa eneo husika.


“Naomba niwasisitize mambo kadhaa ikiwemo kuandika habari zinazosimamia misingi ya haki na usawa kwa wagomb

Post a Comment

0 Comments