Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300






















Akiongea kwenye Mkutano wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Kabla na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, Jaji Juma amesema kuwa kuna watu hawataki maoni ya watu wengine yasikike, baada ya kutoa ripoti wamepokea matusi zaidi ya 300.




Post a Comment

0 Comments